Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
hii kali ......nilijisahau nikijua mapenzi ya kweli yapo kumbe ni sawa nakutafuta ngararimu supermarket.
Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.
hayo ni mawazo ya kale! Unataka uishi na mke utadhani kijakazi?
Humpikii baba ashrat,humfulii?Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.
WORTHLESS!!!
hakuna kukomoana ila kila mmoja abebe majukumu yake ya asili.......na mtaishi bila kukwaruzana....................na kwa furaha lukuki........
Humpikii baba ashrat,humfulii?
Aisee kufua nguo hapo mbona ishu,siku hizi atakuambia kucha zake zitavujika
Nampikia ananipikia, namfulia ananifulia, ananipa moyo nampa moyo, ananipenda nampenda, ananipa raha nampa raha n.k
Hatuishi kama washindani sie!!
chauro unafikiri mapnezi ya kweli ni kututawala........................hayo ndiyo feki na matokeo yake wanaumme wengi wapo hospitalini wanaumwa magonjwa ya moyo, kiaduro, kisukari, shingo ya uume n.k....kwa ajili ya mateso mnayowapa in the name of deceptive love.....................wanaumme tujikombee tusijew tukafa kabla ya siku zetu.........
Sijaona kitakacholeta furaha hapo. Ila wapo wanawake wanaoridhika na wanaume wenye mawazo kama hayo so good luck to y'all.
du basi inawezekana mie wa kale sana siamini kwenye mapenzi ya kumtawala mwingine siamini kwenye kufanya mambo hata usiyoyaweza kwa kujiumiza ili tu umuonyeshe mwenzio/mpenzi/mkeo unaweza mapenzi ya kweli ni kusaidiana kuchukuliana ujeuri na majivuni pembeni unaposema uhakikishe hufilisiki umelipa bill zote nk ili asikunyanyase sijaelewa naammini mapenzi kama hayo yametengenezwa kwenye misingi ya uongo mwisho wa siku ni dhoruba kali........laiti vitu vingekuwa vinabaki constant vile tunavotaka maisha yangekuwa rahisi sana leo unacho kesho hauna kama una mwenza wa sampuli hiyo dah lazima ukope mpaka ufungwe ukilipa bill wakati yeye ana kazi.
Mnahangaika na makubwaa, watu tunachanganywa na videreva vya kazini.
Hamna lolote kama nait fudi iz poisonous.
Be eyes, don't say I did'nt warn you.
Acha dharau wewe!!huna mume ila una mwanamke mwenzio hapo kwako.....................he is not a real man..................a real man anapaswa alipe bili zote lakini asiguse kazi za ndani hata moja..........uhusiano huo utadumu
turudishe ndoa kwenye asili yake kama tunataka zidumu...........
A real man hana cha musimu ana mbinu ya kuhakikisha hata kama hana ajira ni kwa miezi 2 tu................na hata kwenye hiyo miezi 2 ana vijisenti kahifadhi benki na kwenye miradi kadha wa kadha ili asihadhirike.....................kama hana sifa hizo he is not a real man..............na udhaifu wake ndiyo watoa mwanya kwa mkewe kumtawala kwa madai ya kuwa mbona majukumu yako ya asili nami nayaweza?
Ya kizamani au ya kishamba?Wengine haya mambo hatuyawezi ndio mana tunakimbia! Mambo gani ya kizamani hivo?