Chauro rafiki it takes a lot to make a home with someone, sema wengine bado wanadhani nyumba ikishawekwa furniture basi it's a home. Live your life the way you and your partner wants to, ya wanadamu waachie wenyewe maana ukisema uwasikilize unaweza ukaishia kuchanganyikiwa.sasa wale wanaume wenye vibarua hata mlo wa siku unawapiga chenga sio wanaume kamili au sijakuelewa life is not all about money rafiki..................i love i love and i will never stop loving eti sababu ya pesa izo zinaweza kuwa mfukoni mwako lakini naangalia nachokipata zaidi kutoka kwenye moyo wako na return zinaweza kuwa usizotegemea kwangu ni heri ugali wa chumvi na nyumba yenye amani kuliko utawala wa mabavu na kuwa mtumwa ndani ya nyumba yako mwenyewe mengine yote tunapata ni baraka kutoka kwa Maulana.
kama mkeo kakushinda hakuna jingine utakaloweza...............mdhibiti kabla hajakudhibiti..................a battle of the sexes, if you fail you are doomed forever..sijui hata Mwenyezi Mungu utamwambia nini?
turudishe ndoa kwenye asili yake kama tunataka zidumu...........
Chauro rafiki it takes a lot to make a home with someone, sema wengine bado wanadhani nyumba ikishawekwa furniture basi it's a home. Live your life the way you and your partner wants to, ya wanadamu waachie wenyewe maana ukisema uwasikilize unaweza ukaishia kuchanganyikiwa.
kipipi usichojua ni kuwa exception is divorce....and unhappiness........tough choices......[MENTION]@kipipi[/MENTION]
Asili ya ndoa ni mwanamke kuwa kijakazi wa mwanaume..... Yaweza kuwa kweli maana zamani mke huchaguliwa ipi familia au Koo, ubaambiwa kaoe pale, kulikuwa hakuna MAPENZI, mwanamke wewe ndo ulikuwa wa yesyes tu.
Kwasasa Na ukata huu, mwanamke awe tegemezi tu, eti kumdhibiti, what if akigoma kufanya hayo.
Namba 1 mpaka 5...mmmh!
Dunia imeshabadilika, ni wachache sana watakao kufulia, kukupikia, maji bafuni siku hizi tumerahisishiwa kwa mabomba kuwepo bafuni, kuendesha gari, mimi huwa napenda kuendesha saa ya kwenda kwenye eneo la tukio, but saa ya kurudi yeye always ndio ma driver.
Tukio gani? Au wote mu waandishi wa habari? Nakutania.
Duuu, hii inshu imekaa kijenda sana mi sichangii
Imenikumbusha movie moja jamaa wanadanganyana bar eti definition ya wife ni
Washing
Ironing
Food
Etcetera
Hii imekaa kizamani zaidi. Kwa sasa mkw au mume wan fursa sawa katika maisha. Mengine ni aeewano tu kati ya mke na mme.
Nimepata F,
Natumai ndoa yangu itavunjika kabla sijafa au ndo nasubiri hiyo pressure!!
Mhhh...Hili desa nadhani ni kasa!