Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

Nadhani kamfano kadogo tu unakojaribu kuleta ni hadithi za mukulu kuwa head of the state, head of the govenment, commander in-chief of the armed forces and the chairman of the rulling party as well......ndo maana tupo hapa tulipo! Try not!!!!!!!

hivi kipipi unakana ya kuwa kiu yako ni mumeo akupende na akujali? Atawezaje kukupenda kama anakutegemea...........??????? Be real............ furaha ya mwanumme ni kujitegemea na mwanaume yeyote anayemtegemea mwanamke hana furaha maishani mwake kwa sababu anapingana na nature aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu.........
 
nilishapoteza mudi naona unairudisha..kwa wale tunaojua kujali nyumba zetu hapo hata hujanikomoa....

Vaislay wewe utaishi maisha ya furaha kwa sababu hushindani na mipango ya Mwenyezi Mungu ambaye alipanga kila mtu kwa nafasi yake...................wale wanaoshindana na mipango ya Mungu huishia kwenye mifarakano na kufa kabla ya siku zao..........................hongera sana kwa kuisoma mada na kuielewa.............wengi wanakimbilia namba 1 hadi tano na kusahau namba sita hadi kumi ni majukumu ya mume ambayo asipoyafanya na kuyamudu hatakuwa na furaha na mwisho wake hufa kabla ya siku zake..............
 
Remmy fanya utafiti wako hata kwa majirani zako utagundua ya kuwa familia ambazo mwanaumme ndiye kiongozi wa ile familia ndiyo yenye furaha na malezi ya watoto wao huenda vyema...................familia ambayo wako mafahali wawili huwa na migogoro isiyo na mwisho na malezi ya watoto ni balaa................na furaha yako ni kuishi kwa furaha huku watoto wako wakipata misingi mizuri.............................mambo unayoyaita ni ya kizamani ndiyo yamejenga familia na hili la mwanamke kujivuni vijisenti ndiyo mwanzo wa vurugu katika familia........na mwanaumme kulazimishwa kazi za mke ni mwanzo wa majonzi na nyumba ndogo..................chunguza sana......utaafiki kuwa zamani ilikuwa bora kulikoni hivi sasa
 
Duh! kweli tuko tofauti, mie wangu anataka afanye kila kitu ila namkataza na nataka kumsaidia! kama hiyo ya kufua na kupika:shock:, namuonea huruma!!
 

Pole sana Rejao.......................kama huwezi namba 1-5 basi hata 6-10 zitakusumbua..................huwezi kumpenda kwa dhatoi mkeo ambaye nyote ni mafahali ndani ya nyumba.............................there ought to be a pecking order........and you on top of her not lying side by side..................that won't work....................ajue you are in-charge of the house............................[MENTION]@Rejao[/MENTION]
 
kama babu lina mabomba mvua na yale mabwawa ya bafuni, nayo niyabebeje?

bwawa la mabafuni hakikisha maji moto yamejaa tele Kongosho.....................kama ni showers......do something to make him know you care for his wellbeing ........like kuhakikisha towel is crystal clean..sabauni zipo eneo ni safi.........asikute ukurutu ndani ya bafu au kwenye tiles....................mkaribishe kwenda kuoga...........................msindikize hata ikibidi kaoge naye................................jamani kama haya huyafanyi atakapokutana na anayemfanyia usije kulia na kusaga meno...........kwa sababu ataishia tu [MENTION]@Kongosho[/MENTION]
 
Ukiweza kuongezea na 8 na 9 siku unataka small hausi nistue baba!

Afu wewe ruta, sasa kama sipiki mie na kufua atahakikishaje manake hizo kazi zinafanywa wakati mwanaume akiwa kazini, akifika nyumbani shughuli ni yeye na yeye ndo shughuli yangu! Inadhani kina NN wanafanyaje? Dada anaambiwa nakupikia dinner, he orders chinese, tupa maboksi kulee anavaa apron na kujipaka unga usoni. Simple!
nimechukua namba 6 na 7 seriously........
 
Duh! kweli tuko tofauti, mie wangu anataka afanye kila kitu ila namkataza na nataka kumsaidia! kama hiyo ya kufua na kupika:shock:, namuonea huruma!!

msikilize mkeo ana busara sana......................ukianza kumwingilia kwenye mnajukumu yake naye ataanza kukuingilia mwisho wake mtajiuliza hivi nani ni bosi hapa?............Mkifikia hapo hiyo siyo ndoa bali ni maigizo.................Be on top of her not only in bed but everywhere and you will live long and enjoy a blissful life................kinyume chake ni maumivu tena makali sana LoyalTzCitizen
 
Last edited by a moderator:

mapishi yako kama hayafahamu mna tatizo kubwa anatakiwa akionja tu ajue hayo ni yako au la............swala siyo kumdanganya bali suala ni kuyatambua majukumu ambayo Mwenyezi Mungu alikuumba uyatimize.............[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
Kumbe sex haim-define wife?
 
[h=2][/h]
Ukiweza kuongezea na 8 na 9 siku unataka small hausi nistue baba!

kumbe haki zenu mwazijua sasa majukumu kwanini mnatafuta visingizio kebekebe? [MENTION]@King'asti[/MENTION]
 

Mh! Sikubaliani na wewe kwa namna moja ama nyingine kama hiyo #8 usikubali kufilisika kwani kufilisika watu huwa wanapenda au inajitokeza kama ajali tu? Pia #9 usimdhalilishe mbele ya watu je mwapo peke yenu chumbani unawajibu wa kumdhalilisha? Pamoja na hayo kumwachia kazi zote za ndani siyo issue maana kila mmoja anatakiwa kuwa msaada kwa mwenzie!
 
Kumbe sex haim-define wife?

9) Usimpige au kumnyanyasa au kumdhalilisha mkeo mbele ya kadamnasi ya watu............mpende kama kiapo chako kilivyokuwa.........

hiyo namba 9 hususani nyekundu imemaliza masuala yote ya unyumba.......................
 

Spot on mkuu Rutashubanyuma!!
 

shine huta-shine kama unataka kujifanyia utakavyo................kama wataka furaha maishani mwako jaribu hizi mbinu na utaona matunda yake.................kama untaka mivutano fanya uonavyo.......................mwanaumme ambaye anadai anapenda kupika, kufua na kazi za ndani ni mnafiki.................kuna siku unafiki wake utamwuumbua................ujue ana lake jambo ambalo anakuficha....................azifanye kazi hizi kama mkewe ni mgonjwa au hayupo............yaani yawepo mazingira yanayomzuia kuzifanya basi mume abebe machungu hayo na hakuna shida..................[MENTION]@shine[/MENTION]
 
Ofcoz hapo kwenye kupika its very easy na mie napenda chakula kizuri,lol. Kwenye kufua ntamnunulisha boonge la washing machine ili mambo yawe bien tu.
Ruta tuongee ukweli, wanaume majority siku hizi hiyo 6 hadi 10 ndo kizungumkuti. Haijalishi mtu akifilisika anaweza kutunzwa hadi ainuke, lakini wanaume hawana aibu kabisaaa! Kuna libaba na mke na watoto, linanitaka. Lakini kila likiniona online linaomba nilitumie zawadi. Analalamika namuitikia tu simtumii (tuko mji mmoja ila sijamuona mwaka wa 3 huu namkwepa shauri ya usumbufu). Namuambia zawadi haiombwi! Sasa huyu jamani natamani nimsake mkewe nimuulize vipi anahudumia nyumba kweli?
mapishi yako kama hayafahamu mna tatizo kubwa anatakiwa akionja tu ajue hayo ni yako au la............swala siyo kumdanganya bali suala ni kuyatambua majukumu ambayo Mwenyezi Mungu alikuumba uyatimize.............[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 

shine huhitaji kukubaliana nami hata chembe....................la muhimu tafakari tu na utaelemika.................hizi mbini zinategemeana huwezi ukachagua moja ukaacha nyingine. Kwa mfano hiyo namba 8 lazima iende na namba 10..............mara zote anayefilisika huwa na matumizi mabaya...................ni mtu wa kujionyesha kuwa anazo na hivyo kuzitapanya mali.......................Mungu hakukuumba uadhirike lakini matendo yako ndiyo yataamua kama uheshimike au la........[MENTION]@shine[/MENTION]
 
Tatizo lenu majukumu yenu hamyataki ila mnataka mtunzwe tu! Yaani jitu likazurure kwenye mipombe na maswahiba wake, lilirudi home midnite likute limepikiwa na kufuliwa na mkewe? Afu asubuhi liseme sina hela kabisaaa! Wanawake wanavumilia mengi Ruta, mi namuomba Mungu anisaidie nisiweze kuvumilia upuuzi!
[h=2][/h]

kumbe haki zenu mwazijua sasa majukumu kwanini mnatafuta visingizio kebekebe? [MENTION]@King'asti[/MENTION]
 

mwanaumme yeyote ambaye ni real man.......hatataka kubebwa na mwanamke katika mazingira yoyote yale.................atahakikisha amesota tangia akiwa mdogo kuhakikisha ana ujuzi ambao soko linauhitaji na hata kama hana ajira atahakikisha anaingia soko huria na kujipatia mkate wake..................ukiona yupo radhi kukuingilia majukumu yako ujue huyo hawezi kubeba majukumu yake ambayo ni 6-10 na kisingizio sasa kinakuwa mbona tulibadilishana hizi ngwe siku nyingi sana?,...........[MENTION]@king'asti[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…