Elections 2010 Mbinu Chafu za JK: Mdogo Wangu Kijijini Amepokea Meseji 7 za Vitisho

Elections 2010 Mbinu Chafu za JK: Mdogo Wangu Kijijini Amepokea Meseji 7 za Vitisho

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Inashangaza.

Kaka mtu nina miaka 8 ninamiliki simu ya mkononi. Sijawahi kutumiwa hiyo meseji ya Kiwete inayosema Dr. Slaa anataka kuingia ikulu kwa kumwaga damu. Naiona kwenye simu za watu tu. Hata hivyo, SIITAKI.

Mdogo wangu ana nusu mwaka ana mililki simu, ameshapata huo ujumbe mara 7. Ajabu ni kwamba sote tunatumia Voda.

Nilipomuuliza maoni yake kuhusu hizo meseji akajibu: "CCM wababaishaji".

Fitina hizi zitamsaidia nini Kikwete?
 
Back
Top Bottom