Kwasasa Mahakama zinatumia mbinu mbalimbali KUPOKA HAKI za Wananchi Jambo ambalo kama halitatafutiwa DAWA basi tukubali BAADHI ya Mahakimu wasio waaminifu kuendelea KUPOKA HAKI Kwa manufaa Yao binafsi. Mbinu hizo ni kama ifuatavyo:-
1). Kusikiliza kesi (exparty) upande mmoja Kwa kisingizio kwamba upande unaolalamikiwa hawajapatikana wengi hapa wameathirika na maamuzi ya upande mmoja na kuwapa usumbufu mkubwa.
2). Wadhamini kuwekwa ndani badala ya kuwapa muda wa kumtafuta aliyeruka dhamana.
3). Kuchelewesha hukumu mpaka muda wa kukata rufaa unapita ili kama Kuna Nia ya kukata rufaa usumbuke kuomba Maombi ya kukata rufaa nje ya muda au ukate tamaa.
4) Trial Denovo inaamriwa kesi ianze kusikilizwa upya WAKIJUA watarekebisha au kuwatisha mashahidi au kutokana na muda Kuwa mrefu mashahidi kusahau NK.
5) ADHABU za kifungo cha nje au MIEZI ambayo wanajua Kuna shufaa NK
Yapo mengi lakini washika dau wa kuitafsiri sheria wanahitaji Maombi Sana maana BAADHI Yao Wana kero hata kuwazidi Majambazi na wezi wa mtaani wanatumia kitu kinaitwa technicalities.
Ni Rai yangu tasnia hii ya sheria kuwe na ukaguzi kuntu pamoja na vetting ya kutosha.