Mbinu gani ulitumia mpaka ukapata division one au two?

we ni mwanafunzi?

kwangu Mimi ni bidii kwenye kitabu mazee, sikuwa na possible pia kuibia siwezi coz macho yana uono hafifu
 
Mazoezi ya kurefusha shingo hasa kwa kwenda gymcana kucheza basketball wakati huo ni mfupi Kama pipa la lami .

Na mwisho kuyapa macho mazoezi ya kuona mbali basi nikajikuta kipanga miongoni mwa vipanga ,kwa ufupi ni CHABO tu kaka
 
Sikuwa nasoma ili nipate Div 1 au ni faulu. Ila nilikuwa nasoma ili nijue mambo. Na enjoy kufahamu mambo kwa undani.

So tangu form one utaratibu wangu ulikuwa ni kusoma vitabu. Kila topic nilikuwa naisoma kwenye vitabu vi tatu tofauti then najibu maswali yote yaliyo mwisho wa chapter.

After class nilikuwa naenda library ya mkoa nasoma saa 9 hadi wanapofunga. Siku za likizo nilikuwa naenda asubuhi hadi jioni.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wangu tangu form one hadi namaliza masters.
 
Hongera sana
 
Congratulations
 
Jamani wakuu semeni mbinu mlizotumia mpaka mkafaulu division one au two
nikiwa na mawakili wasomi akini measipu huko pwani ilikua ni kusoma kama bundi gentleman,

Tulikua 33 wawili pekee walipata division 2, wengine wote tulipiga division 1🐒
 
Back
Top Bottom