Mbinu gani unatumia kutafuta soko?

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Wanapango habari?

Hebu shuka / tiririka hapa ni mbinu gani unatumia kupata soko la bidhaa zako. Tiririka wote tujifunze kutokana na uzoefu wako .

Tusiwe wachoyo na maujanja ya maisha. Sina uzoefu na mimi nataka kujifunza
 
Hujasema soko la nini!???

Kwanza wakati unaanza biashara yako unapaswa kuwatambua potential customer's wako

Then Fanya namna uwafikie hao clients wako uwanadie bidhaa yako

Soko hutegemea na aina ya product mazes na targeted customer's
Itambulishe bidhaa
Fanya uchunguzi wa competitive price

Zingatia hizi Five P kwenye soko la bidhaa zako.
Place unauzia mahali sahihi? Usije uza kitimoto karibu na msikiti au unaweka bar maeneo ya kanisa
Promotion hapa je umewajulisha wateja juu ya bidhaa yako au umeweka tu hakuna matangazo yoyote
Products je bidhaa inahitajika? Ina ubora na viwngo vya kukidhi sokon? Usituuzie nguo wakati hatuna mitoko
People hapa watu wakufanya kkazi yako ni watu sahihi? Wana skills za kuvuta wateja? Professional? Committed?
Price hapa bei ya bidhaa ni affordable?
 
Soko la bidhaa yoyote halali

Kweli swala kuwatambua customers ni la muhimu kabla ya yote na ndipo wengi tunakwama

Nashukuru kwa maoni mkuu nimejifunza mengi mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matangazo ni njia yakupata waitaji wa bidhaa
 
tumia tunguli kupata wateja....yote mbwembwe tu haitaji kujua wateja Wala nini.....hahaaahaa akiri za Corona mbaya sanaaaa au mnasemje mod wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…