Uchaguzi 2020 Mbinu gani zinapaswa zitumie ili kushinda Ubunge ikiwa huna pesa?

careenjibebe

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2020
Posts
1,604
Reaction score
1,652
Niende tu kwenye point moja kwa moja!

Kama Mwanasiasa huna hela na una nia thabiti ya kusaidia jimbo lako na unaishi jimboni kiasi kwamba kila mtu anakuona je? Utumie mbinu gani ili ushinde?

Hasa ukizingatia watanzania walio wengi hasa vijijini wakijua wewe ni mtia nia tu wanaanza kukupiga vizinga kila wanapopata kukuona au kukupigia simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…