mbinu inayosahaulika ya kumpata mume

mbinu inayosahaulika ya kumpata mume

MORIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
706
Reaction score
278
wazazi tumekuwa wazito ktk kutilia mkazo suala la bint zetu kujitunza,ingawa kuna changamoto mingi lakini tunaweza..ewe bint mzuri moja ya factor zinazoweza kukupa mme wa maisha yako ni kujitunza (kutojirahisi),ingawa ni mbinu ya zamani lakini inawork mpaka kesho..ktk pitapita zangu nimejifunza kuwa kama bint anakuwa mgumu/tabia njema mtaani basi anakuwa ktk soko la ndoa-hata ukiuliza utaambiwa kwa fulani kuna bint afaaye, kwani 70% ya vijana/wanaume baada ya maongezi yao huwajadili kwa kina ikiwa ni pamoja na nani uko naye(je ni loose)..2;ni afya vilevile kutembeza vibuti kwa wakware..3;ni lazima ktk selection uzingatie umri,tabia,elimu!!?,kazi na vilevile ukujue kwao..4;uwashirikishe wazazi..Hata nyie mlioko vyuo leo mnaweza apply hii mbinu, acheni mapenzi kabla ya ndoa hayana tija mbeleni zaidi ya majuto(mimba utatoa, ukimwi?). haya yanaonekan ya kizamani lakini ni msingi wa familia zetu..
 
Kweli kabisa, hii MBINU naona vijana wanaisahau sana siku hizi...., tena hasa vijana wa kiume sijui kwakuwa meter haisomi??
 
Dah umefikiria jambo jema sana. Mungu atupe subira ktk kufanikisha jambo la kheri kama hili.
 
Thank you for the useful post mpenzi.i love it! Ila umesahau kutuambia tupige goti Mungu anatoa ubavu wako.
 
wazazi tumekuwa wazito ktk kutilia mkazo suala la bint zetu kujitunza,ingawa kuna changamoto mingi lakini tunaweza..ewe bint mzuri moja ya factor zinazoweza kukupa mme wa maisha yako ni kujitunza (kutojirahisi),ingawa ni mbinu ya zamani lakini inawork mpaka kesho..ktk pitapita zangu nimejifunza kuwa kama bint anakuwa mgumu/tabia njema mtaani basi anakuwa ktk soko la ndoa-hata ukiuliza utaambiwa kwa fulani kuna bint afaaye, kwani 70% ya vijana/wanaume baada ya maongezi yao huwajadili kwa kina ikiwa ni pamoja na nani uko naye(je ni loose)..2;ni afya vilevile kutembeza vibuti kwa wakware..3;ni lazima ktk selection uzingatie umri,tabia,elimu!!?,kazi na vilevile ukujue kwao..4;uwashirikishe wazazi..Hata nyie mlioko vyuo leo mnaweza apply hii mbinu, acheni mapenzi kabla ya ndoa hayana tija mbeleni zaidi ya majuto(mimba utatoa, ukimwi?). haya yanaonekan ya kizamani lakini ni msingi wa familia zetu..
Amen Ubarikiwe Sana
 
Kweli kabisa, hii MBINU naona vijana wanaisahau sana siku hizi...., tena hasa vijana wa kiume sijui kwakuwa meter haisomi??

Hakuna cha kiume wala kike wote ni hovyo tu siku hizi...Imagine jamaa yangu kaongea na demu tu kwenye phone yuko Same, kampa invitation aje kumtembelea tayari kesho yake demu yuko kwa msela na msela kama kawaida akamega sasa hapo nani alaumiwe? wote ni limbukeni tu siku hizi ndio maana mi huwa nasema wwaliobahatika kupata ndoa za kweli watulie hukohuko na wenzii wao...Vijana( kiKE & kiume) siku hizi ni vicheche tu wote hakuna wa nafuu kama ni malaria wote imepanda kichwani.
 
Ushauri mzuri, hope walengwa wataufanyia kazi....
 
Ubaya ni unapojitunza halafu unaangukia kwa mchakachuaji, inakua majotroo sana hapo!
 
kifulambute,usikate tamaa tuanze sasa kutoa elimu hii nina imani watabadilika tuu
 
Hakuna cha kiume wala kike wote ni hovyo tu siku hizi...Imagine jamaa yangu kaongea na demu tu kwenye phone yuko Same, kampa invitation aje kumtembelea tayari kesho yake demu yuko kwa msela na msela kama kawaida akamega sasa hapo nani alaumiwe? wote ni limbukeni tu siku hizi ndio maana mi huwa nasema wwaliobahatika kupata ndoa za kweli watulie hukohuko na wenzii wao...Vijana( kiKE & kiume) siku hizi ni vicheche tu wote hakuna wa nafuu kama ni malaria wote imepanda kichwani.

Aisee wapo, ila ndo kama alivyosema hapo juu...kuna mbinu tumezisahau...tunaharakisha mambo!!!
 
Back
Top Bottom