wazazi tumekuwa wazito ktk kutilia mkazo suala la bint zetu kujitunza,ingawa kuna changamoto mingi lakini tunaweza..ewe bint mzuri moja ya factor zinazoweza kukupa mme wa maisha yako ni kujitunza (kutojirahisi),ingawa ni mbinu ya zamani lakini inawork mpaka kesho..ktk pitapita zangu nimejifunza kuwa kama bint anakuwa mgumu/tabia njema mtaani basi anakuwa ktk soko la ndoa-hata ukiuliza utaambiwa kwa fulani kuna bint afaaye, kwani 70% ya vijana/wanaume baada ya maongezi yao huwajadili kwa kina ikiwa ni pamoja na nani uko naye(je ni loose)..2;ni afya vilevile kutembeza vibuti kwa wakware..3;ni lazima ktk selection uzingatie umri,tabia,elimu!!?,kazi na vilevile ukujue kwao..4;uwashirikishe wazazi..Hata nyie mlioko vyuo leo mnaweza apply hii mbinu, acheni mapenzi kabla ya ndoa hayana tija mbeleni zaidi ya majuto(mimba utatoa, ukimwi?). haya yanaonekan ya kizamani lakini ni msingi wa familia zetu..