Mbinu mpya ya ombaomba

Mbinu mpya ya ombaomba

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
747
Reaction score
1,404
Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato.

Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao.

Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela kutokana na kile unachokifanya.
 
Inabidi Serikali ya Mwigulu iwafundishe jinsi ya kuomba omba kwa kiwango cha PhD!
 
Kuna wengine wamekuja na style ya kujifanya eti wanaruka sarakasi afu baadae wanaomba wachangiwe chochote kitu.
 
Wanapiga Kelele Sana, Pia Kuna Wengine Wanatumia Spika Za Kuuzia Dawa Ya Panya Wanarecord Sauti Tu Wao Wametulia Sio Kirahisi Vile Aiseeeee
 
Back
Top Bottom