zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Huoni nimewapongeza?Kama rahisi nawe mleta mada nenda kaimbe tutakupa pesa.
Hii nchi watu wamevurugwa. Comments zinadhibitisha hili mkuu.Huoni nimewapongeza?
Kwani nimewalaumu wapi?
mbona unawaita ombaomba?Huoni nimewapongeza?
Kwani nimewalaumu wapi?
Inabidi Serikali ya Mwigulu iwafundishe jinsi ya kuomba omba kwa kiwango cha PhD!Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato.
Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao.
Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela kutokana na kile unachokifanya.