dengeru
Member
- Oct 1, 2009
- 52
- 7
Ni mkakati wa CCM kuhakikisha watu hawapati elimu ya uraia hasa viijini,na wanatumia njia hiyo kushinda changuzi mbalimbali.Naomba tutumie njia mbadala kuhakikisha watu wetu walio vijijini hawaichagui CCM(wakiwapa hela wale na wasiwachague)..naomba kila mtu alie mjiji awapigie simu ndugu zake wote walio vijijini wasiichague CCM mwaka huu,naamii sisi watu wa mjini tunasikilizwa sana na ndugu zetu waliovijijini ukizingatia ndio tunaowatunza...hakikisha baba,mama,kaka,dada,mjomba,shangazi,babu na bibi wote unawapa ujube huu,WACHAGUE CHADEMA na sio TLP
pamoja tutashinda
pamoja tutashinda