Mbinu na mikakati ya Nabi, Yanga yaikanda kama ngano Rivers United nyumbani kwao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Yanga wakiwa hawana mpira shape yao ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B).

Ile pembetatu ya Mudathir, Bangala, na Farid Musa ilikuwa muhimu sana kwenye kipindi cha kujilinda na kushambulia. Shape hiyo ya pembetatu ilikuwa haipotei kabisa kwenye vipindi vyote.(attacking & defending).

Licha ya kipindi cha kwanza Yanga kupata baadhi ya nafasi lakini hawakuwa na namba kubwa ya wachezaji ambao wangeweza kui overloads idara ya ulinzi ya Rivers United.

Kipindi Cha pili

Nabi aliamua kubadili system,akaamua kuweka wacheza ambao ni runners (Kisinda na Moloko) kwa ajili ya kuupanua uwanja kwenye upande wa kulia na kushoto ( left channel & light channel).

Mabadiliko haya yalikuwa ya kiufundi kwasababu Yanga kwenye zone ya ushambuliaji wakatengeneza shape ya 3-2(Mayele, Aziz,Kisinda, Moloko, na Mudathiri), plan hii ilifanikiwa kwasababu Yanga waliongeza namba ya Wachezaji na kuongeza vitendo vya kiushambuliaji (offensive actions).

Kitendo cha Rivers United kuwa more offensive kikasababisha kuacha space nyingi kwenye mistari yao miwili.(fisrt & second line). Hapa ndio ile threat ya Yanga kuwa na runners ikazaa matunda na kupata magoli.

NB: Mwamnyeto anapiga pasi anakaba na anafanya joining kwenye build up ya Yanga.

Moloko ni pressing machine kweli kweli,what a counter attacks creator.

Aziz Ki passing vision yake ni hatari.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mmekutana na walemavu hawawezi hata kutoa pasi
 
Acha ujinga wewe kiwango kinapanda na kushuka acha uzwazwa wako
Ulivyo Mbumbumbu hata hujiulizi hao wameshuka kiwango lini ilihali wamefika robo fainali?


Sikushangai, uzumbukuku ni kipaji...[emoji1]
 
Ulivyo Mbumbumbu hata hujiulizi hao wameshuka kiwango lini ilihali wamefika robo fainali?


Sikushangai, uzumbukuku ni kipaji...[emoji1]

Sasa yanga mbona mbovu na imefika robo fainali na ubovu wake itapita kwenda nusu fainali mkapate haibu ya karne huko
 
Maandiko yako humu Ni mengi kuliko mda wa kitafuta riziki
 
Sasa yanga mbona mbovu na imefika robo fainali na ubovu wake itapita kwenda nusu fainali mkapate haibu ya karne huko
Yanga mbovu imechukua ubingwa wa NBC PL 2022/2023 mbele ya umbumbumbu wako.

Ilishabeba makombe matatu yote 2021/2022 ukibaki na umbumbumbu wako.

Yanga ndiyo timu inayoongoza kubeba ubingwa wa PL TZ.

Yanga ndiyo timu pekee duniani kuionea Makolokolo kwa kuifunga mara nyingi zaidi.

Utaendelea na rekodi zingine, kwako Mbumbumbu [emoji847]
 
Zote ni starehe zangu so na chagua vyote sababu vipo kwenye group moja la STAREHE.

Haiwezekani mkuu utakuwa hauna mke wewe yanga na mkeo unachagua vyote haupo makini wewe
 
Haiwezekani mkuu utakuwa hauna mke wewe yanga na mkeo unachagua vyote haupo makini wewe
Zote zipo group moja la starehe, kwani wewe kati Simba na mkeo unamchagua nani.

Au ndio wae wake zao wanawaweka bond timu ikipigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…