Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
Naomba mnisaidie wana JF, ni namna gani natoa maji yaliyoingia sikioni?
Kwa waliopatwa na karaha hii nadhani watakubaliana nami jinsi gani inasumbua saa nyingine... maana mtu unazungurusha kichwa weee, wapi..... na ukigonga-gonga kichwa unakikia kinalia kama kopo la blueband.
Nisaidieni tafadhali!!!