Naomba mnisaidie wana JF, ni namna gani natoa maji yaliyoingia sikioni?
Kwa waliopatwa na karaha hii nadhani watakubaliana nami jinsi gani inasumbua saa nyingine... maana mtu unazungurusha kichwa weee, wapi..... na ukigonga-gonga kichwa unakikia kinalia kama kopo la blueband.
Nisaidieni tafadhari!!!
Mimi mbinu niitumiayo japo siyo scientific inasaidia sana na inanifaa.
Kama maji yameingia sikio la kulia mathalan, basi wewe weka maji ya kutosha kiganja cha kulia kisha tilt kichwa chako kilalie zaidi kushoto halafu weka yale maji ya kiganjani sikio hilo la kulia haraka na kukirudisha kiinamie kulia ...hiki kiwe kitendo cha haraka utashangaa maji yale yatakavyotoka upesi!

may be i explain the mechanism!
kuna kitu kinaitwa COHESION FORCE,the force of attraction between two molecules of the same nature.ukiyaweka yale maji kwenye sikio linalokusumbua,yanaungana na maji yaliyoko ndani ya sikio,na pindi unapoturn opposite,yatatoka yoooote,sababu yatakuwa yameungana (maji ya ndani ya sikio na yale ya kiganjani kwa COHESION FORCE
Sawa Mkuu,Shukrani WoS, nitaitumia hii mbinu walau mara moja kwanza kujaribishia. Unajua maumbile ya masikio yetu naamini yanatofautiana, kuna watu wengine naona hawapatwi na mkasa kama huu mara kwa mara labda kutokana na maumbile yao.