GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Mambo vipi?
Ni siku nyingine tena tunakutana katika darasa la leo ambapo siku ya leo ningependa ni-share mambo saba ninayoamini kwa dhati kabisa iwapo utafuata basi utatengeneza pesa na kamwe hutolia shida.
Haya mambo ni uchunguzi wangu binafsi.
Lakini pia vyanzo tofauti toka kwa watu wanaotengeneza pesa yakuelewaka hapa Tz na duniani kote.
Mambo haya nayachukulia kwa uzito mkubwa kwasababu yote yanatoka kwa watu waliofanikiwa kwahiyo ni sahihi nikisema iwapo utafuata hatua nazoenda kuzielezea hakika utatengeneza pesa in this life time.
Kwanza nianze kwakusema.
Pesa ni tamu bwana!
Money can buy you a very good lifestyle.
Japo hatuabudu pesa lakini tunazihitaji sana.
Na leo ndiyo nipo hapa kukuonyesha namna yakuzipata.
Upo tayari?
Tuanze number moja hadi saba.
1 • Fahamu Pesa ni Energy.
Man, ili utengeneza Pesa nyingi unahitaji different kind of energy.
Katika mambo ambayo nimehakikisha kuhusu pesa ni kwamba unahitaji aina fulani ya energy ili uweze kuzipata.
Na hapa sizingumzii hizi energy kwamaana ya witchcraft or something.
Energy ninayozungumzia hapa ni vile unavyoiwazia pesa.
Kwa mfano wewe unahitaji kujenga tented camp ya kisasa kama Acacia Serengeti kwaajili ya project yako ya tourism. Sasa unaweza jiuliza nitapataje pesa zote hizo?
Utanzaje anzaje?
Mtu wangu nakwambia anza na hatua ya kwanza kabisa ambayo ni ndogo sana lakini italeta utofaufi mkubwa. Trust me on this.
Nenda sehemu unayodhani itafaa kujengwa hiyo tented camp.
Nenda pale kashangae tu. Hata kama huna kumi mfukoni.
Fanya imagination kwenye medulla yako uone possibilities.
Hii itakusaidia kuiwazia pesa tofauti.
Itafungua ubongo wako nakuanza kujiuliza swali muhimu.
How can i do it?
Na ukishapata hii mindset kamwe hautokubali kushindwa mpaka umepata pesa unayohitaji.
I use this technique myself. And it does work damn well.
2 • Jifunze Kuuza.
Unahitaji kuuza kitu fulani ili upate pesa, right?
Watu wengi wanadhani kuuza ni uncomfortable experience.
Lakini wanasahau kitu kimoja.
Uwezo wa kuuza ndiyo biashara yenyewe kwasababu ndiyo inayokuletea pesa.
Nyingine zote ni mbwembwe.
Mtu wangu ili utengeneze chapaa inabidi ujifunze mbinu zakuuza.
Na niseme tu mtu yeyote anaweza kujifunza.
Why not start today?
Nimekutana na watu wengi sana wanaujuzi mzuri kuhusu fani fulani lakini linapokuja swala lakuwauzia watu wanaogopa au wanawaza wataonekanaje.
Inashangaza au siyo?
Trust me nafahamu hili kwasababu mimi ni digital marketer kwahiyo naongea na watu wengi na pia nafanya uchunguzi.
Uwezo wa kuuza utakusaidia sana na pesa haitakauka kwenye mikono yako.
Siyo unapata leo laki moja unakuja kupata tena baada ya siku 10. You need to get that amount or more every single damn day. Lengo letu nikutengeneza mkwanja as much as possible. Remember?
3 • Jifunze Emotional Intelligence.
Ngoja nikwambie kitu.
Ili uweze kuwin trust na pia kutengeneza good vibes ukiwa na watu unaoshirikiana nao au unaolenga siku moja kushirikiana nao kwenye business basi inabidi uwe smart sana vile unaweza kuendana na mood za watu hao.
Nimegundua watu wenye Emotional Intelligence ni rahisi (wakiamua) kuaminiwa na kisha kutumia fursa hii kutengeneza pesa.
Kama wewe tayari una Emotional Intelligence basi inabidi ukazanie Step nyingine katika post hii.
4 • Jifunze kukamilisha mambo kwa haraka kama inavyohitajika.
Yes man.
Success loves speed.
Kama kuna jambo fulani linaenda kukuingizia pesa hakikisha unafanya kila kinachowezekana kupata hizo pesa kwa haraka.
Maswala ya kuchelewa chelewa yanakwamisha mambo mengi kwasababu ukichelewesha mambo ule uhitaji unapungua kwahiyo kama ulikuwa na client anayetaka kukulipa leo asubuhi halafu wewe ukaja kumkumbusha baadae jioni au siku inayofuata utakosa hiyo deal mtu wangu.
Kwa uzoefu wangu nimegundua uwezo wakukamilisha mambo kwa haraka si tu utakuletea pesa lakini pia itakusaidia kuwa mtu wa kazi na si blah blah.
Kuna baadhi ya watu wanapata deals nzuri lakini kwasababu wao ni watu wakuchelewa chelewa basi mwisho wa siku muda mrefu unapita hadi mawazo yanabadilika.
Nimegundua watu wanaogopa kufanya mambo haraka kwasababu wanaogopa kuonekana wataonekna they are so fucking needy.
Lakini nikukumbushe tu hakuna ubaya kumtaka client wako akulipe pesa mara moja ili kazi ifanyike haraka.
Mwambie hapo hapo kiasi unachotaka ulipwe na kama inawezekana kulipwa wakati huo. Au kama vipi hata advance?
5 • Usifikirie sana Aina ya chanzo kinachokuingizia pesa. Opportunity inayokuletea pesa ndiyo biashara yenyewe hiyo.
Hii Point ni muhimu sana na niseme tu watu wengi wanaacha opportunity zinazoweza kuwatengenezea pesa kisa tu hizo kazi si “level” zao.
Huu ugonjwa wanao sana watu wenye elimu kubwa ya vyuo vikuu.
Mtu wangu yaani unasema unataka pesa halafu unaona aibu kuanzisha Hustle yako yakuuza matunda kisa una degree?
Acha utani.
Wewe huzitaki pesa wewe. Na kama ilivyo tabia ya pesa ukiikataa na yenyewe inakukataa.
Achana na idea ya business itakayokutoa ni ile unayoipenda.
Hell no.
Fanya Business inayokuletea pesa hata kama huipendi. Full stop.
Ukifanya hivi maana yake unaelewa biashara si kwaajili yako ni kwaajili ya wateja.
Wewe deal na biashara wateja wanayotaka si biashara unayodhani ni yakisasa au nzuri machoni kwako.
Jifunze kitu kutoka kwa wachanga. Wanauza chochote like ilimradi wahitaji wapo.
Na hapo ndipo pesa hazikauki mikononi mwao.
6 • Usichukulie poa uhusiano wako na wateja wako.
Ngoja hapa nikupe siri.
Ili pesa isikauke inabidi uwe na loyal customers kwenye business yako.
Na loyal customers unawapata baada ya kufahamu mbinu zakujenga uhusiano imara na wateja wako.
Trust me mteja aliyenunua huduma kwako ni rahisi sana kumshawishi mtaja huyo anunue tena na tena.
Lakini pia uhusiano mzuri na customers utakusaidia kuwafanya wateja wote walioonyesha shauku ya kununua toka kwako wafanya hivyo hata siku za baadaye.
Binafsi nimegundua baadhi ya potential customers watanunua huduma au bidhaa zako baada ya muda kupita let say wiki mbili. Sasa ukiweza kujenga uhusiano mzuri kwako mwisho wa siku hawa potential customers watanunua tu hatimaye.
Kamwe usimpuuze potential customer. Msome anachohitaji na mwonyeshe unaweza mpatia hata kama itapita muda.
Usikasirike kisa amesema hatoweza kununua leo. Mpe nafasi na endelea kumfuatilia.
Hii mbinu ni very powerful. Jaribu leo utaniambia.
7 • Jiweke kama professional. Acha kuwa kawaida kawaida tu.
Mbinu ya mwisho nayopenda kukufundisha ni umuhimu wakujiweka kama expert hasahasa unapowasiliana na watu unaodhani watatoa pesa.
Hebu acha kuwa kawaida kawaida.
Kama unatoa maelezo yanayohusu huduma yako kwa mteja anayetaka kufahamu ili alipie basi toa maelezo kama mtaalamu.
Kumbuka potential customers wanauwezo waku sense body language na kugundua iwapo unaufahamu au ni blah blah.
Hii mbinu ni muhimu sana wakati una close deal.
Fikiria unapigiwa simu na mtu anataka huduma yako je utawezaje kuhakikisha humkosi?
Watu wengi wanashindwa hapa. Wanajikuta wanashindwa kumfanya potential customer atoe pesa kwasababu hawaelewi umuhimu wakuji present kama Authority figure.
Mtu wangu unahitaji sana hii mbinu ili uweze ku-close deals.
Binafsi nime-close deals kwa njia ya simu zaidi ya milioni 5 kwa biashara ya mtandaoni toka mwaka huu uanze. And the number is increasing.
Ok ngoja niishie hapa.
Tukutane tena siku nyingine kwaajili ya darasa amazing kama hili.