Mbinu Saba 7 Usizofahamu zitakazokusaidia ku-attract pesa kwenye haya maisha

Tuendelee kusaka dough mkuu.

Asikuambie mtu pesa inafanya life inakuwa zuri.

Mimi nazisaka usiku na mchana.

Hustle mode activated [emoji123]


Ulichoandika ni kweli kbs mkuu ..hasa jinsi ya kupata mtaji...zamani nilikua najua had upate mtaji ndo uanze kufikiria biashara kumbe hapana...!

hyo inaitwa "Nguvu ya kuvuta!"

Pesa inafanya ht nguvu ya kugombana na mtu iishe yenyewe automatic!
Hela ni tamu jamani..mradi ukubali kuitafta na itakufata tu ipende isipende!
 
Mtoa maada, mwandiko km ulikuwa ukiNisomea live kichwani kwangu aisee...

Unanguvu kubwa kyk maneno yako. .
Unashawishi kukufuatilia mkuu. .[emoji23]
 

Shukrani mkuu.

Inaleta maana sana hii mambo si mimi binafsi ninafahamu hata member wengine (kama wewe) unaifahamu pia.

Basi na kila mtu asome na ajifunze [emoji91]
 
Mtoa maada, mwandiko km ulikuwa ukiNisomea live kichwani kwangu aisee...

Unanguvu kubwa kyk maneno yako. .
Unashawishi kukufuatilia mkuu. .[emoji23]

Blessings sister!

Nashukuru post yangu imekugusa [emoji1431]

Each one teach one
 
Thank you a lot...kwa kuwa na moyo wa kutoa!. To be honest umeongea UKWELI MTUPU....

Ila umenikumbusha mbali sana, nimekumbuka kipindi hiko naingia field ya kuturn my business idea into practical....huku nikiwa na Tsh 10,000 only. For sure haukuwa mtihani rahisi hata kidogo, but nashukuru nilipass....
 

Big up yourself man.

Sasa hivi una muda gani?

How is business going?
 
Hii elimu imenipa nguvu mpya,
Hasa namba 1,kujua kwamba 'Pesa ni energy'
Asante kwa elimu hii
 
Big up yourself man.

Sasa hivi una muda gani?

How is business going?
Nina biashara tayari ila nataka kuatrack mauzo kwa kutoa bonus ya kinywaji cha thamani isio zidi500 kwa kila mauzo ya nayoniletea faida ghafi ya5000.vp kibiashara hapa wakuu nakua nimekosea au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…