Mbinu wanazotumia wahalifu kutakatisha fedha

Benno Bongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
620
Reaction score
704
Thread yangu ni kama kichokoza mada.

Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa hamna maswali yeyote kuhusiana na matumizi yake kifedha kutoka kwa jamii.

Kwa miaka ya karibuni wanatumika sana fake pastors, preachers, wasanii na celebries uchwara ambapo wahusika wanapitisha fedha kwao kwakuwa hakuna mtu atakayewauliza matumizi yao kipesa kwenye jamii.

Pia kuna mbinu nyingine ya misaada ambayo inatumika sana na wafanyabiashara na wanasiasa ambapo wanajitoa sana kwenye jamii na kutokana na profile yao hakuna mtu wa kuuliza matumizi yao even mamlaka za kiserikali.

Je, wewe mdau unafahamu ama ushawahi kusikia mbinu gani nyingine ya utakatishaji fedha kwa nchi zetu za kiafrika?
 
Most of Charity foundation, Church, Petrol station, football, car shooroom and real estate are used in money laundering.
 
Kuna mmoja niliona mtu ana carwash anatoa risit kibao na wateja hakuna
 
Back
Top Bottom