MAALIMU KIJUGU
New Member
- Jul 18, 2016
- 1
- 4
Ndio ujue CCM ina wenyewe unaweza ukawa Mzee wa TANU na AFRO SHIRAZ PARTY na usiwajue wenyewe ni kina nani mpaka pale utakapokutana na Wajumbe wa sekretaliet kuu watoto wa 2000 ndio utakapojua hujui!Kumbe hata kama umejiunga JF muda mrefu lkn unaweza ukawa bado mgeni 😂
Unazijua nickname (ID) zake zote humu jamvini?Tokea 2016, juzi ndio ukaamua kama mbwai iwe mbwai lazima uposti kitu
Hili nalo la kulitazama!Unazijua nickname (ID) zake zote humu jamvini?
Naam, tunaendea uchaguzi mkuu, Id zote chakavu zitafufuliwa.Hili nalo la kulitazama!
Hawa ndio wale Wana kadi za vyama vyote mpaka Simba na Yanga Wanadouble yeyote akifungwa anashangilia!
😁😁
Ahaaa kumbeee ndio umenifumbua macho mkuu!Naam, tunaendea uchaguzi mkuu, Id zote chakavu zitafufuliwa.