Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
AminNinawapeni faida ya kujitibu maradhi ya kichwa kilichokushika gafla. Na Maradhi ya Stress Shika vidole vyako 2 kidole cha gumba na kidole cha shahada kwenye mkono wako kushoto bana kidogo kwa muda wa nusu dakika utapona inshallah hicho kichwa na Stress zitakuondoka. Angalia mfano wa hiyo Picha hapo chini.Ninawatakieni Afya njema.
View attachment 375131
Headache and stress-pass method in 30 secondsKwangu mimi ni vigumu sana kuamini kitu bila kuelewa mechanism of action.