Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
MBINU YA KUMPATA
Tafiti zinaonesha kwamba, muuzaji(Mfanya Biashara) yeyote akipata mteja atakayeonesha kuhitaji/kuvutiwa na bidhaa zake, alafu ghafla mteja huyo akahamia kwa muuzaji mwingine, basi yule muuzaji wa kwanza ataanza kuona wivu na kujuta kwa kumpoteza mteja huyo.
Ila sasa endapo yule mteja atarudi kwa muuzaji wa kwanza, basi tafiti zinaonesha kwamba muuzaji yule atamjali na kumzingatia ili mteja huyo asiondoke tena, na kama haitoshi muuzaji huyo anaweza kulazimika kumuuzia mteja bidhaa yake kwa bei ya punguzo ili tuu kuhakikisha anau-win moyo wa mteja.
Sasa hii kitu kitaalam inaitwa "Attention Shifting", kwamba hata unapomtaka mwanamke, basi cha kufanya kwanza mfuate kisha mfanye afurahi na kuifurahia company yako kisha baada ya muda ile attention yako hamishia kwa rafiki yake, hii itamjaza wivu na kumfanya aanze kujiuliza maswali mfano [emoji116]
"nimekosea nini mpaka kaenda kwa rafiki angu, ina maana rafiki yangu ni mzuri/ana mvuto kunizidi".
Hali hii itamuingiza mwanamke huyo katika competition kati yake na huyo rafiki yake, na endapo ukirudisha ile attention yako kwake, basi itamfanya aanze kujihisi kama anatakiwa kufanya kitu cha ziada ili kukutunza na kukulinda usiondoke.
Bro, ukiweza kutengemeza competition kati ya wanawake wawili, basi amini kwamba ume-win game kirahisi sana.