tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Hello ,mambo vipi?
Natumaini wote mko salama kabia, sasa leo nimekuja na mbinu ya kupunguza uzito kwa haraka ,note hii mbinu sio health ila tuiite crush plan!kwhyo usifanye mwaka mzima usije ukaanguka.
Amka asubuhi (kama unakwenda kazin) ruka kamba mara mia tu zinakutosha, fanya zoez la tumbo mara 50 -100 kama ukiwez,tosha.
Breakfast yako-kunywa green tea flavour uipendayo though mm napendelea peppermint/lemon, usiweke sukari kabisaaa, kula na kipande cha tikitiki kama unalo au sless mbil tu za toasted brown bread kama huna toaster ukaushe kidogo kwenye kikaangio au sufuria.
Kunywa maji mengi uwezavyo mida hiyo ya katikati ukiwa unasubir lunch,
lunch kula matunda tikiti/parachich kiasi, kunywa maji meng uwezavyo, chakula cha jion chemsha yai moja, kabichi, ichemshe weka pilipil manga kidogo, kitunguu ,chumvi kidogo sana kama ukipenda kunywa hyo supu hapo utakua umeshiba.
Baada ya hapo lala kesho yake fanya hivyo hivyo mpaka kwa muda wa wiki mbili, natumai utakua umepunguza kilo kadhaa.
Pia hapo kwenye dinner unaweza badilisha kidogo sio lazima ule kabich kila siku, unaweza kula kipande cha kuku mtoe ngozi lakin.
Inaweza kuwa kidali au paja lililochemshwa na chumvi kidogo au usiweke kbsa,au samaki kipande au mzma samak.Note , usile nyama ya ng'ombe kabisa