Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
- Nunua kwenye tovuti zinazojulikana na kuwa mwangalifu wa herufi za kiunganishi cha tovuti hiyo. Mfano; Amazon.com inaweza kuwa Arnazon.com
- Hakikisha tovuti ina alama ya kufuli kwenye sehemu ya kuonesha kiunganishi. Hii inaonesha tovuti ina tumia HTTPS ambayo ni salama
- Fanya utafiti kuhusu Muuzaji ili kujua historia yake, hii itakusaidia kupata taarifa iwapo ni tapeli
- Epuka kutoa taarifa zako binafsi ambazo hazihusiani na Ununuzi huo kwa Muuzaji. Taarifa zinaweka kutumika vibaya
- Kuwa makini na 'ofa' za ununuzi zinazotolewa mtandaoni hususani kwa Muuzaji/tovuti usizozijua, inaweza kuwa ni mtego wa utapeli