jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
- Thread starter
-
- #21
mkuu mi nachukua accounting IFM NIPE MAUJANJA MKUU
Kitu cha business law na QM kuwa makini
Usi dodge Lectures, Penda
library, Usimis Quiz na Assignments pitia past papers, usiwaudhi ma
lecture usikose mitihani. Punguza ujuaji mwingi( KIHEREHERE) Fanya group
discussions Punguza Bata na wanawake/wanume sababu watakupotezea
concentration.
ahsante mkuu pia vipi staili ya kujibu maswali tunajibu kama tulivyozoea huku vidudu?
Kwa IFM you go straight to the point,ukiwa mngwini sana watakula kichwa
Kwa IFM you go straight to the point,ukiwa mngwini sana watakula kichwa
Ifm multiple choice, true and False zipo nyingi tu lakini unaweza usione jibu aisee
Me naona kama unafahamu nini unakitafuta chuoni basi piga ua galagaza lazma ujue ni njia zipi utatumia ili upate ulichokifuata...but guys huko mavyuoni kuna lots of stuffs so cha msingi ni kukomaa...safari ni ndefu but we have no way out lets strive to the climax of it
Mi Baed in science DUCE NATAKA FIRST CLASS NAJUA INAWEZEKANA
hakikisha unasoma kila siku iitwayo leo. Usisubiri mpaka ratibe ya UE ndiyo uanze kusoma utachemsha. GPA inaanza kutafutwa toka siku ya kwanza Lecturer anapojitambulisha darasani. Kuwa makini na maisha ya chuoni, maana ni mchanganyiko wa watu wa aina mbalimbali. Chuoni kuna uhuru ulio kamili, hakuna kengele wala kulazimishana kuingia darasani. Unaweza kukaa semester nzima bila kuingia darasani. Ila hakikisha unafanya Group work, Presentation za assignments, test pamoja na UE.
Kama wewe jinsia yako ni KE, lecturer akiingia darasani wakati anafundisha jitahidi uwe unamkonyeza mara kwa mara.
hakikisha unasoma kila siku iitwayo leo. Usisubiri mpaka ratibe ya UE ndiyo uanze kusoma utachemsha. GPA inaanza kutafutwa toka siku ya kwanza Lecturer anapojitambulisha darasani. Kuwa makini na maisha ya chuoni, maana ni mchanganyiko wa watu wa aina mbalimbali. Chuoni kuna uhuru ulio kamili, hakuna kengele wala kulazimishana kuingia darasani. Unaweza kukaa semester nzima bila kuingia darasani. Ila hakikisha unafanya Group work, Presentation za assignments, test pamoja na UE.
Inategemea pia na chuo na kozi utakayosoma. Weka chuo na kozi ili alumni wakupe tech za kupata first class au upper second ya maana. All that matters for good performance in any higher learning institution is self control! Hakuna viboko wala mtu anayekufuatilia mambo yako.
mzumbe,bachelor of account and finance in busines sector