mbinu za kufaulu chuoni

mkuu kitu cha msingi ni arrangement ya ratiba katika masomo na muda wa bata ambayo ni sehem ya maisha kwa mwana chuo. quiz, test, assignment, & group assignment ambazo zinatengeneza course work mwisho wa semiter.
 
Dreson3 pamoja na wadau wengi wameweka mengi ya muhimu. Zingatieni hayo, ila msikatishwe tamaa na baadhi ya watu, changamoto ni nyingi sana lakini ukiwa wewe kama wewe utaweza kabiliana nazo. Hapa namaanisha ukifika kule usikubali mazingira yakubadilishe negatively.
 
Last edited by a moderator:

Usi dodge Lectures, Penda library, Usimis Quiz na Assignments pitia past papers, usiwaudhi ma lecture usikose mitihani. Punguza ujuaji mwingi( KIHEREHERE) Fanya group discussions Punguza Bata na wanawake/wanume sababu watakupotezea concentration.

Nakubaliana na 100% nlfanya iv. Sanasana apo kwenye kiherehere na assignment zingatieni sana
 
Umesomeka mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…