Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
halafu tukificha atakayeathirika na uamuzi huo unafikiri ni nani?
Kongosho leo umenimaliza! Jamani fanya mazoezi daftari linyooke.Mie naficha kwenye minyama ya tumbo maana yako kama daftari
Hajawahi gundua.
nyie nyie, wengine tuna hormal changes monthly zinazotusaidia kucope na mazingira ya mwili. Hivyo basi mkificha mnajiathiri wenyewe na ndio maana mnaweza kuficha kila kitu isipokuwa uchi. Mkikosa binaadamu wa kike mtawaonyesha mbuzi, nguruwe na hata kuku, bisha!
Freema Agyeman nabisha kwa nguvu zote...wewe ukijipa mazoezi ya kumkomoa mwanaume anayeokoa jahazi anakuwa mwanamke mwenzako. Ukiona mtu anaenda na mbuzi au mbwa au dume mwenzake sababu sio vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa...ni matatizo yake ya akili tu. Ushauri wa bure...dont do that. Itakula kwako maana wadau wa mwanaume kwa asilimia kubwa ni wanawake...sasa inategemea ni wa baa, au wa kazini au mtoto wa shule yaani option hata siwezi kuhesabu.