Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

Haaaahaaa mecheka sana.......

HUU SHAURI PIA UTASAIDIA KWA WAKATI WAKE
 
Hizo akili ulizotumia hapo tumia kwenye kutafuta fedha lazima utoke 100%
 
Hizo nauli unazotumia kuzungukia watu wote hao si unanunua unga ujipikie mwenyewe
 
Huu ushauri, umeuandika vizuri, ila ni ushauri uliopitwa na wakati.
Kwa sasa tunahitaji mawazo chanya kuliko hasi.
Asiyefanya kazi na asile ni maandiko hayo yalituasa hivyo.
Jaribu kuandika tena kwa uchanya zaidi
 
mkuu una undugu na yule MATONYA OMBAOMBA nini
 
Wewe utakuwa unatoka Dodoma sio bure.... Naihurumia familia yako
Acha wehu huo Dodoma inahusikaje hapo
Nyambafu zako kichwa kama msukuma [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…