Mbinu za kukwepa vibomu vya wanawake

Mbinu za kukwepa vibomu vya wanawake

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Kuna wanaume wengi Sana wanapata tabu na vibomu vya wanawake, na wamekuwa wahanga kweli kweli.

Sasa leo nataka kutoa mbinu za kukwepa vibomu hivyo bila kuathiri ukaribu mlio nao .

Pia Kama huamini kupitia saikolojia naomba safari yako ya kwenye huu uzi iiishie hapa . Tuendelee na wanao amini.

Pia swali la kujiuliza kwa Nini watu wengine wanakula mbususu with free of charge lakini wewe Hadi utaabike nazo yaani unakula kwa mbinde Sana [emoji1]

Mbinu hizo ni

1. Kama ndio Mara ya kwanza mmekutana na mwanamke na kufahamiana let say mfano Ana mtoto tengeneza ukaribu na mtoto kupitia kwa mama yake/Dada yake shangazi whatever...yaani salamu zako kwenda kwa mtoto zipitie kwake bila kusahau vizawadi pia hakikisha yeye anakua posta yako ...hapa hata Kama vipesa vitakutoka ni kidogo Sana tofauti na mizinga ambayo ungepigwa na huyo manzi... Hapa lazima utamjengea wivu na kutaka kukujua zaidi yeye mwenyewe na hapa lazima aweke Mbususu rehani kwa sababu hawana kitu kingine Cha ku offer zaidi ya hicho.

2. Kama Hana mtu wa karibu pindi mkutanapo let say mpo restaurant Kama kaagiza chakula na wengi huwa hawaagizi maji ya kunywa sogea karibu kwa sauti isio na kejeri agiza maji ukiulizwa makubwa au madogo jibu huku target victim wako akisikia sema maji ni uhai niketee madogo mawili na jirani hapa in polite and fun way kunywa maliza akitabamu usiendeleze maongozi kata ondoka ..maana kwa akili za Dada zetu atajua tu kinacho fuatwa ni kutongozwa au kuombwa namba Sasa wewe mprove wrong ... Hapa Kama alikua pisi Kali lazima ataanza kukuona wa tofauti na kunza kutaka kukujua na wanawake wanapenda kuwa na watu wao Kama bodaboda yaani boda wake ,Kama mgahawa Basi akipapenda Basi kila siku atakuja hapo...kwa hiyo kwa kuondoka kwako haimaanishi ndio mtapotezana na kesho Rudi Tena ila usionekane unadalili za kumpapatikia hapa naamini lazima salamu atakupa yeye kwanza jibu alafu muulize umekumbuka kunywa maji akijibu ndio usiendeleze story kata sepa ....akijibu hapana muite muhudumu mwambie ampe maji madogo mawili ...kwa Nini maji madogo cos wanawake hawapendi mizigo na itakua simple kuweka kikoba chake. Au kushika mikononi......usilete story nyingi utaleta mazoea na kuchukuliwa poa na kuanza kupigwa mizinga ya kijinga kijinga.... Hadi hatua hiyo wewe gharama ambazo utakua umetumia ni 1500 tu Hadi Sasa lakini attention ambayo utakua umeiteka kwa huyo Dada ni kubwa mno cos utakua umempa kazi ya kujiuliza maswali mengi juu yako na atafanyaje ili akujue au kuwa karibu na wewe.....hili zoezi liende Kama wiki mbili au zaidi Kisha omba namba lazima atakupa tu na atakuambia umbipu ili achukue na yako ai save ....akisha kupa tu usianze shobo Sasa za kujichatisha chatisha vuta Kama siku tatu au tano au msapulize kwa mtoko iwe weekend lkn mtumie text mwambie natamani lunch ya Leo tukalie sehemu fulani hapa hakikisha hiyo sehemu ni mbali na ni geni kwake ....alikataa jua anasababu kubwa Sana inayo mfanya akatae ila wengine hapo lazima akubari na akikubari tu jua na ile probability ya kuliwa nayo kaiweka kwenye menu cos anahamu ya kukufahamu vizuri Basi wewe Kama kidume ni jukumu lako kucheza na hiyo menu vizuri .... Au Kama mlivyo badilishana namba akaanza yeye kukuchatisha hakikishasha unajibu majibu ya kufunga mjadara na kwa kuchelewa Chelewa kujibu na kujifanya Kuna kazi zimekutinga cos ukijichatisha tu imekula kwako . Na hii mbinu unaweza itumia ulingana na mazingira yako uliopo

3. Njia ya tatu ni kujionesha unauwezo kipesa hata Kama hauna ukweli alafu ni cul guy. Hii mbinu lazima pia uwe unajua machimbo yao. Key point ya hii mbinu usiwe na tantalila nyingi au usijiweke Kama wewe ni kauzu Sana watakuogopa weka mazingira Kama mtu yoyote anaweza kukufikia ila kwa heshima mfano Kama unaimba kwaya ikitokea Kama Kuna safari na mchango wa Safari ukawa kumikumi hapa jitolee wewe na pia sema nitajitolea pia katoni mbili za maji ya kunywa tuwapo safarini ....brother kitu ukikitaja kwa katoni au dazani kwa wabongo wengi wanaona ni bonge la kitu [emoji38][emoji38] wakati huo umetaja hizo katoni mbili za maji wanawake akilini mwako watajua Kama umetaja kontena hivi kwa sababu wamezoea kununua vitu vya kupima pima lakini kiuhalisia hizo katoni zako mbili hata elfu kumi hazifiki lkn heshima utakayo jengewa itakua kubwa Sana na kwa akili ya Dada zetu hapa njaa zitaanza kuwaongoza ...kwa sababu umejiwekea kiheshima flani hivi Cha kuto kuwa na mazoea ya ajabu hapa utakua tayari umesha wapa mtihani wanawake jinsi ya kuanza kukufikia ili wawe karibu na wewe ....pia hakikisha haugandani na mwanamke mmoja wote wakajua itawapunguza Kasi wengine hapa Sasa utyakua umejitengenezea mazingira ya wanawake kutaka kuwa karibu na wewe na hapa lazima mbususu zao zitakua mbele Kama kawaida yao.... Anza ku alika mmoja moja na kuwatembezea rungu principal ni ileile usigandane uta wa shift uchoke wewe.

4 . Nawaletea
 
We fala sana umenichekesha hapo kwenye katoni za maji
 
I'm sure hakuna mwanaume atakae changia ama kuunga mkono ukwepaji wa Kodi, zaidi wavulana ndio naona wanashangilia tu....teh[emoji851]
Bro uwanaume sio kujifanya kila kitu unaweza [emoji1][emoji1] Basi tufanye kitu kimoja kila mtu ale kwa style yake tukutane uzeeni
 
We fala sana umenichekesha hapo kwenye katoni za maji
Tena ndio uwe na geto zuri full kuwa alika tu yaani unaweza ukajikuta umekula kwaya nzima kwa katoni mbili tu
 
Hiyo mbinu ya kwanza. yaani utoe vizawadi kwa watoto afu uje uhesabu umekula mbususu free of charge..!?
 
Summary
1. Single mother penda mtoto wake utakula mbususu
2. Mnunulie maji ya jero restaurant afu usichukue namba kesho rudi restaurant tena , mnunulie maji ...... UTakula mbususu
3.jioneshe una pesa Yani pedesheee papa mipesa mutu ya congo.
4. Utatuletea .

Tule mbususu wakuu mbinu tumepewa
 
.
20211216_174748.jpg
 
Hiyo mbinu ya kwanza. yaani utoe vizawadi kwa watoto afu uje uhesabu umekula mbususu free of charge..!?
Hiyo chambo mzee....Sasa wewe Kama unatoa chambo ya buku ili upate jero Hilo ni tatizo
 
Summary
1. Single mother penda mtoto wake utakula mbususu
2. Mnunulie maji ya jero restaurant afu usichukue namba kesho rudi restaurant tena , mnunulie maji ...... UTakula mbususu
3.jioneshe una pesa Yani pedesheee papa mipesa mutu ya congo.
4. Utatuletea .

Tule mbususu wakuu mbinu tumepewa
Kwa kweli umeelewa
 
Back
Top Bottom