Mbinu za kukwepa vibomu vya wanawake

Umelewa
 
Hiyo hela iite jina lolote lile, ni malipo ya mbususu... iwe prepaid au post paid..
Sikatai lkn ni tofauti. Cos hii unatoa kwa hiyari na kiwango ulicho jipangia tofauti na kuombwa
 
Hizi elimu sometimes zinafanya maisha yawe magumu.

Jamani sio kitu kibaya kumpoteza demu ambae sio hadhi yako.

Tutafute pesa mambo yasiwe mengi
 
Tafuta pesa uache kuandika threads kama hizi...naona unaishi kwa wasiwasi wa kuombwa pesa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu ww jamaa Genius Sana,dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…