"Never get angry.
Believe me I am not angry.... But nahisi maybe wee umechukia;
Never make a Threat.
Sijakutisha ndio maana nikakwambia katika post yangu
ya pili kua mchango wangu ulikua genuine... na sio mzaha..
Reason with People"
Sig yangu huniongoza mara nying... Ndio maana nikauliza kua
humridhishi (sio kwa nia mbaya) Mpaka wee umeweka swala lako
hapa ina maana unataka Utatuzi... na utatuzi mzuri utapata tu ukiwa
wazi. Sijaelewa kabisa kwamba wee waishi na Mkeo then uanze kutaka
jua kama katoka nje, hio itakuchukua a lot of your energy na kukufanya
kila unapokua nae faragha ujiulize kama kuna mtu kapita hapo... Believe
me you yaweza hata punguza nguzu yako... itakukosesha raha... na
kukufanya hata uanze mchukia mkeo hali kumbe hata hafanyi....