Mbinu za Kumnasa msaliti

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,501
Jamani naomba mnisaidie, nawezaje kugundua kama mke wangu ama mpenzi wangu ametoka kufanya mapenzi leo leo kabla mimi sijakutana naye. Hebu nipeni mbinu waungwana nitagunduaje jambo hilo? Mfano kama katoka kufanya na mwanaume mwingine mchana, then jioni amekuja kwangu
 
Acha kujipa pressure wewe.... Vipi kwani humridhishi ndani??
 
Jibu kilichoulizwa basi, ndo maana mnafeli mitihani

Genuinely..... Jibu langu sio mzaha, unapalia makaa na kufupisha maisha yako kwa mawazo ambayo mwisho yatakufanya uwe depressed.
 
Genuinely..... Jibu langu sio mzaha, unapalia makaa na kufupisha maisha yako kwa mawazo ambayo mwisho yatakufanya uwe depressed.

Hebu soma signature yako tafadhali, then tafakari
 
Kama unategemea kuna dalili za mwilini basi fahamu huwezi kujua kabisaaaaaa hata kama alienda kufanya mapenzi chooni we ukawa sebuleni. Ila kuna dalili zingine kama vile uchovu, hana interest na wewe etc. Na hapo ndipo AshaDii atakua na point: kwa nini aende nje kama unamtimizia yote ndani?
I don't mean mwnamke asipotimiziwa anaruhusiwa kwenda nje ila ni fact ya maisha, wengi wanaenda nje kwa sababu hiyo.
 
Acha kujipa pressure wewe.... Vipi kwani humridhishi ndani??

Si kweli kuwa wote watokao nje, awe mwanamke au mwanaume eti hawaridhishwi na wandani wao. Toa msaada kwa mhitaji kama hujui ni bora kunyamaza, hujui kuwa mpaka mtu kuomba msaada kwa wanajamvi. Subiri nawe yakukute!
 
Hebu soma signature yako tafadhali, then tafakari

"Never get angry.
Believe me I am not angry.... But nahisi maybe wee umechukia;

Never make a Threat.
Sijakutisha ndio maana nikakwambia katika post yangu
ya pili kua mchango wangu ulikua genuine... na sio mzaha..

Reason with People"
Sig yangu huniongoza mara nying... Ndio maana nikauliza kua
humridhishi (sio kwa nia mbaya) Mpaka wee umeweka swala lako
hapa ina maana unataka Utatuzi... na utatuzi mzuri utapata tu ukiwa
wazi. Sijaelewa kabisa kwamba wee waishi na Mkeo then uanze kutaka
jua kama katoka nje, hio itakuchukua a lot of your energy na kukufanya
kila unapokua nae faragha ujiulize kama kuna mtu kapita hapo... Believe
me you yaweza hata punguza nguzu yako... itakukosesha raha... na
kukufanya hata uanze mchukia mkeo hali kumbe hata hafanyi....
 
Si kweli kuwa wote watokao nje, awe mwanamke au mwanaume eti hawaridhishwi na wandani wao. Toa msaada kwa mhitaji kama hujui ni bora kunyamaza, hujui kuwa mpaka mtu kuomba msaada kwa wanajamvi. Subiri nawe yakukute!

Hivi wewe unaona ni sawa tu kuanza fikiria Mke/Mme anatoka nje out of nowhere... Sijasema hamridhishi... Nimemuuliza kama hamridhishi?? For why the wasiwasi....

Na ofcoz nakubaliana na wewe kua sio kila anaetoka haridhishwi.... Sababu ni nyingi mno!
 
Soma post #8
 
so kama namridhisha na bado anatoka nje, how could I know?
 
Unatoa mfano au ni ndio hali ilivyo???
 
Soma post #8

Naona ushakua clouded na the fact kua hukukubali my First two posts.... Whether because you are sensitive or hukunipata sijatambua... Post namba 8 nimeisoma... that means umesoma pia nilivo mjibu.... Thus Mwana Mpotevu NAOMBA MSAMAHA saana kwa kukuchafulia Thread yako kwa comments ambazo sio za Msingi kwako.... Best of Luck katika tatizo lako.

BTW... Mwanamke ambae hutoka nje hutamtambua kwa kuangalia maeneo yake... Bali kwa kumuona ama kufumania... ndo kwanza anaweza toka alikotoka huko na ukapata chumvi na usinotice the difference.
 
BTW... Mwanamke ambae hutoka nje hutamtambua kwa kuangalia maeneo yake... Bali kwa kumuona ama kufumania... ndo kwanza anaweza toka alikotoka huko na ukapata chumvi na usinotice the difference.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…