monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Habari za muda huu ndugu zangu wanajukwaa pendwa.
Ndugu yenu nimeona ni vema tukapeana techniques za kumuombea kura za ndiyo Mh. Lissu kwa kuwa ndyo kiongozi pekee tunayemtegemea atutoe kwenye minyororo ya Pharaoh muuaji (CCM) na kutupeleka kwenye nchi ya ahadi, nchi ya Uhuru na haki.
Kila mmoja wetu aweke mbinu ya kumpatia kura Mh. Lissu, mimi naweka mbinu zangu chache hapa chini kama zifuatavyo;
1. Kwa sisi watumishi wa umma tuwaambie ndugu zetu wanaotutegemea kuwa tumeshindwa kuwasaidia ipasavyo kwa kuwa serikali ya CCM haijatupandisha madaraja ya kiutumishi. Pia,tuwaeleze ukweli kuwa serikali ya CCM imetupandishia kodi kubwa so mishahara tunayolipwa haikidhi mahItaji. Mwisho, technique hii itatengeneza chuki kati ya watu wanaotutegemea na serikali ya CCM. Vilevile tuwaambie na kuwakumbusha Mama, Baba, Shangazi, Wajomba na Bibi zetu kuwa CCM ikitoka madarakani chama kitakachokuja kitatupandisha madaraja ya kiutumishi. Kila mmoja ahakikishe anaitumia silaha hii vizuri!
2. Kusafiri na kuomba kura sehemu ambako ni mbali kutoka kwenye vituo vyetu vya kazi. Hapa kila mtumishi wa umma ajitahdi kusafiri na kwenda sehemu za mbali kwa ajili ya kumuombea kura za ndyo Mh. Lissu. Mpaka sasa nimeshamuombea kura za ndyo Mh. Lissu zaidi ya kura 289 kwa kusafiri maeneo mbalimbali.
3. Watumishi wa umma tutumie heshima tunayopewa na jamii kumuombea kura za ndyo Mh. Lissu. Hapa kuna Watumishi kama Walimu, Manesi, Madaktari na Mabwana mifugo tunaaminiwa sana na jamii. Ukimueleza mwanajamii kuwa "naomba kura yako iende kwa Lissu" lazima atakuelewa.
Muda ni huu, nafasi ndyo hii. Tusifanye makosa Malaika hatibui maji mara mbili, maji yameshatibuliwa wagonjwa wote tuingie.
Asanteni sana
Ni yeye2020!