Habari Wana JF kama kichwa kinavyosema :
Kutokana na sera mbalimbali za CDM kugonga mwamba jamaa bado hawajakata tamaa.
Je? Nini kipo nyuma ya pazia.
Muunganiko wa chama Cha walimu wasio na ajira ambae kiongozi wao alipunguzwa makali nimoja ya mbinu wanayotumia kutaka kutaka kushika Dola kiurahisi.
Muunganiko wa wasomi wenye level kubwa ya elimu lakini mshahara sisiminzi pia nimoja ya mbinu wanayotaka kuitumia kushika Dola lakini hawatoweza.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutengeneza muungano wa wasomi wasio na ajira pia nimuelekeo wa kipuuzi wanaoweza kutengeneza ijapokua washachelewa muda umewatupa mkono.
Kutengeneza umoja wa wamachinga waliokimbizwa barabarani nayo nimbinu ambayo wapinzani wanaweza kuitumia lakini hapa kutoboa nivigumu
Muungano mpya wa vyama vya upinzani ambao uligonga mwamba mbele ya mporipori mwenye akili kubwa.
Haya yote kama wapinzani wangepata kiongozi wakwelii mwenye uwezo wakusimama nahaya ukijani angavuu ungegeuka kua ukame lakini nivigum