Mbinu za kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wako!!

nilitaka nimpe mbinu but naona labda sio sahihi lol

ni heri umeamua kuacha hivi we unadhani huyu akili yake timamu.........yaani tumfundishe umalaya hapa jf, halafu kesho unasimama jukwaani kukemea tabia hatarishi za kuambukiza ukimwi!
 
kwa nini huyo mtoto wa watu unamwita jina ambalo unajua sio lake???? mpenzi wako wakati humdhamini kiasi hicho??
 
Japo hajaelezea kutoka kivipi.
Okey kama unataka kutoka na demu wa rafiki yako fanya haya

1. Hakikisha kuwa rafikiyako anajua na ulishaweka ahadi.
2. Huyo dada pamoja na mupenzi wake waridhie kutoka kwenu.
3. Mahali mnapokwenda ni open space au kunamchanganyiko wawatu ili kuondoa temptetion.
4. Huna tamaa ya ngono dhidi yake(unaweza kubaka).
5. Umpe heshima yake kama shemeji yako mwanzo hadi mwisho wa mtoko wenu...
6. ...
7. ......

Nadhani utakuwa umenipata mkuu...
 

sidhani kama alitaka hii...au sio The Boss....lol
 
watu wengine wanafikiria kwa kutumia masaburi
 
ni heri umeamua kuacha hivi we unadhani huyu akili yake timamu.........yaani tumfundishe umalaya hapa jf, halafu kesho unasimama jukwaani kukemea tabia hatarishi za kuambukiza ukimwi!
ni bora aelekezwe-maana kuna ambao hawaelekezwi lakini ni malaya wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…