BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo Mbele.
Mara baada ya kuwa hawana kitu cha maana cha ku ofer kwa raia wao, au hali ni Mbaya, Kodi ziko juu hakuna ajira, huduma duni za afya walianza kuja na mbinu za kutengeneza mada za raia kujadili ili wasahau mambo serious ya nchi. Baadhi ya mbinu zilikuwa ni kutengua viongozi wa juu,na kuweka wapya walikuwa wanatengua na inakuwa ni headline ya mwezi mzima, ikipoa wana kuja na nyingine. Kuna wakati kiongozi anaweza teuliwa leo na baada ya wiki kadhaa anatenguliwa, hii ikawa inatengeneza headline ya kutosha.
Hii tabia iliendelea sana hadi baada ya Raia kuanza kushitukia mchezo mzima na kujua kwamba hizi tengua na teua ni njia za kisiasa za kuwahadaa Raia.
Sasa anacho Fanya Samia ndio hicho hicho, yaani amejipangia ndani ya mwezi angalau mara mbili au tatu lazima atengeneze headline ya Wajinga kujadili mwezu mzima. Hizi Tengua teua, tengua, Hamisha, leta yule, tengua hizi zote ni njia za kucheza na akili za Wabongo.
Wabongo wanawekwa busy kwenye mada za kijinga, huwezi sikia mambo Serious tena, hutasikia tena Kashifa ya Sukari swala la kodi ya pango kupanda hutalisikia tena.
Mada ya wiki hii ni teuzi tupu labda na Sajiri za Yanga na Simba, ikipoa hii inatengenezwa mpya tena, na kabla ya huu mwezi kuisha lazima mtengenezewe Headline mpya ya kusogeza muda.
Sema tofauti na Ulaya Mashariki huku Serikali ina advantage tena ya Mada za Yanga na Simba, Serikali inapata sapoti kubwa sana hapo.
Hizi ndio discusion za Wabongo huku wajanja wakigawana nchi.
Siku mkija shituka kwamba hizi teuzi, Tenguzi, hamisha, teua ni mbinu za kutengeneza headline itakuwa muda umeenda sana.