Mbinu zipi za ziada za kupata utajiri kwa njia halali kabisa?

Nenda Mombi Bay, wanapaita mombasa beibiiii!!!
Apo week tu unarudi na hela ya kujenga Lodge mjini, hamna amna waweza kuja na fuso pembeni
 
Kila tajiri ana njia zake kwa mujibu wa vitabu kwa waliofanikiwa ni kwamba lazima uwe na

1.Akili ya ziada ya kufikiria uwezo wa ki entrepreneure.

2.Kipaji binafsi(Talent) mfano Messi,Ronado, Diamond wa bongofleva,Ally Kiba na wengine wengi.

3.Ukunali njia za kufundishika, nenda shule, jifunze kwa waliofanikisha na formula nyingi za ajabu ajabu.

4.Kubwa kuliko yote ni Mungu mwenyewe anayeamua, imani yako ndio itakayokukomboa.huwezi kuwa na kipaji kama Mungu hajakupatia,huwezi kuwa entreprenure kama Mungu hajakupatia huo uwezo na huwezi kuwa msomi bobezi,mrithi wa mali, na vinginevyo kama Mungu hajakupatia.

kumbuka si wote lazima wawe matajiri, dunia hii itakuwa ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…