Mbinu zipi zinaweza kutumika kudhibiti uharibifu unaofanya Nguruwe Pori?

Kamata chinja mzee wangu siunajua iyo kitu kwa rosti na ndizi mzee sio mchezo!!! Weka mitego fungua bucha kabisa la nguruwe pori
 
Waislam wengi huwa wana namna ya kuwatega na kuwakamata, tena wakiwa hai

Labda watatusaidia
 
Jamani, hakuna kwenye uzoefu?
Mkuu, nimetania tu, Ila ukienda kwa hawa Maaskari wa wanyama pori (Ant porchers) kama sijakosea huwa wanatoa mafunzo na hata msaada wa jinsi ya kuwacontrol, either kuwapunguza au kuwafukuza.
 
Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
weee jamaa wee! kwa hiyo unamshauri afuge simba au chui sio?!
 
Mkuu hiyo ni fursa. Tega uuze kitimoto
 
Simba huwa anajiuliza mara mbili mbili Kwa Tembo na Faru tuuu, tena wale wakubwa, wengine wote wanachapika fresh tuu
Mmhhh!!!,Anamwezaje na yale meno ya nguruwe pole?.Haya Kuna mnyama anaitwa Kiboko unataka kusema na yeye anachapika na Simba?.
 
Ni mara chache Simba na kiboko wakakutana , sababu mda mwingi kiboko yupo ndani ya maji, Ila imeshuhudiwa mara Kwa mara kundi la Simba wakimshambulia kiboko , Tembo na Faru ni aggressive thus why ni nadra Sana Simba huwa serious dhidi Yao japo ikibidi Simba huwa hawana simile wanazichapa Tu fresh , na hapa Simba lazima wawe kundi.....

Kuna kitu kinaitwa hofu , wanyama wengi porini Wana hofu dhidi ya Simba , ndo mana unaweza kuta kundi la nyati hata hamsini wanakimbizwa na Simba mmoja , Kwa akili ya kawaida unawaza wanashindwaje kumchangia na kumpiga kuliko kukimbia....

Huyo nguruwe Pori sjui ndo ngiri ni chakula kitamu mno Kwa Simba , na Simba hatishiki hata kidog..... yeye mwenyewe akimuona Simba anachora speed ya mwanga
 
Dah!!!,Siku ya kuuona mtanange wa Simba na Kiboko itakuwa very interesting.
 
Back
Top Bottom