fyafyafyafyefye hawa wakenya wanafanya mazoezi usiku na mchana wabongo wakiona mvua kidogo wanahairisha mpaka kiangazi sasa utamshinda nani?ngoja niwape mikoa ya kufanyia mazoezi,pale ruvuma nenda wilaya ya mbinga,pale iringa nenda wilaya ya makete,pale mbeya nenda rungwe,ileje,tukuyu ,morogoro nenda matombo huko,arusha,kilimanjaro