Mbio za Marathon ndiyo zimekuwa mitoko ya Watanzania

Mbio za Marathon ndiyo zimekuwa mitoko ya Watanzania

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto!

1666514572613.png

Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
 
Wabongo hamna dogo.

Kukimbia marathon ni moja kati ya vitu vizuri kufanya upatapo nafasi hiyo.

Mleta uzi jaribu hutaacha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umesahau na zile safari za utalii wa ndani...
Yes utalii wa ndani ni muhimu mno kwa kuendeleza uchumi wa nchi, middle class wengi hapo Dar hawajawahi kufika mikumi national park na tatizo sio uwezo ila ni uduni wa elimu yao, wenzetu utafurahi wanavyokuza uchumi wao kwa utalii wa ndani, ukidrive ndani ya Namibia, zambia, Zimbabwe utaona jinsi raia wa nchi hizo wanavyotembea na kufurahia nchi zao, covid imewafanya wawe na nwamko zaidi wa kuzijua nchi zao, aliyetufanya sisi kuwa mazuzu alitumaliza sana
 
Matumizi mabaya ya maneno, CHARITY WALK/ MATEMBEZI YA MSHIKAMANO yanaitwa marathon, wkt marathon ni mbio ya barabarani isiyopungua kilometa arobaini na mbili (42.2km) kwa mujibu wa Oxford Dictionary, hapo watembeaji wasiozodi hata kilometa 10.
 
Back
Top Bottom