Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Lakini sijasema kwamba ni jambo baya.Wabongo hamna dogo.
Kukimbia marathon ni moja kati ya vitu vizuri kufanya upatapo nafasi hiyo.
Mleta uzi jaribu hutaacha.
#MaendeleoHayanaChama
Yes utalii wa ndani ni muhimu mno kwa kuendeleza uchumi wa nchi, middle class wengi hapo Dar hawajawahi kufika mikumi national park na tatizo sio uwezo ila ni uduni wa elimu yao, wenzetu utafurahi wanavyokuza uchumi wao kwa utalii wa ndani, ukidrive ndani ya Namibia, zambia, Zimbabwe utaona jinsi raia wa nchi hizo wanavyotembea na kufurahia nchi zao, covid imewafanya wawe na nwamko zaidi wa kuzijua nchi zao, aliyetufanya sisi kuwa mazuzu alitumaliza sanaUmesahau na zile safari za utalii wa ndani...