Hii hotokea Bongo kila mwaka nimeikuta kwenye Blog ya BBC
Aid worker Isla Gilmore snapped this in Tanzania. The goat race is an annual charity event, she said. "The goats don't really run - they have to be pushed." BBCNews Africa
Hiki ni kitu kizuri kama moja ya starehe lakini pia ni fund raising activity - infact ni Ascot ya TZ Lol maana hao mbuzi huwekewa dau..na wanapewa wasifu kama wale farasi wa kuleeeeeeeeeee mfano utaona wanasema Mbuzi xyz kutoka " stable" fulani, mwenyewe ni xyz.... aliwahi kushiriki mbio mara .... na alishinda mara......
kwa kweli ni starehe ya aina yake lakini mwisho wa siku ni mapato yanayopatikana kupelekwa kusaidia a good cause."Kibaya" hapa ni kwamba waandaaji ni maTX walioko Tz ....I wish na watz tungeweza kuwa na creativity kama hii lakini ndo hivyo...majukumu na shughuli nadhani zinatuzidia.Wakati wenzetu weekend ni ya kupumzika kikamilifu na kustarehe, watz wengi hicho ndio kipindi cha kuhangaika kutafuta kipato cha ziada....anyway tuwapongeze wenzetu kwa ubunifu.
WomenofSubstance!
Unanishangaza yaani unaita kufukuza mbuzi ni creativity? Hivi nyie waTZ mmepata huo wazimu kutoka wapi? Mimi nafikiri ingekuwa busara wakakimbizana hao watu weupe walioko kwenye back ground ingekuwa burdani tosha . Hivi kile chama cha kuzuia ukatili dhidi ya wanyama bado kipo au CCM walikibinafsisha?
This is cruelity against animals basic rights. Of course we have been sexing the human rights sembuse haki za mbuzi who according to a swahili adage ''kamba shingoni ni stahili yake mbuzi''
We are now quite a laughable stock kila kitu kinawashinda waswahili hata kula ? Usishangae ukakuta hao watu wenye rangi nyeupe wakawa ndo wafadhili na wanasudujiwa na hawa wapuuzi wanokimbiza hao mbuzi nina hakika hao mbuzi hawajapata hata maji ya kunywa ebu yaangalie mnatia aibu na kuleta kichefuchefu you big ******!!
Wacha vituko vyako wewe...😀Hii michezo Kibunango huipenda sana ngoja niPM
Mimi na rafiki zangu tulikuwa na mbuzi wetu kati ya mbuzi walioshiriki. It was a family day out, to have fun, drink and cheers to the goat races.
At the end of the day, all the money goes to charity and they raised TZS 60M this year. There were 13 charity organisation named for this year's goat races which will benefit from the funds raised.