Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Ingawa ukimbizaji Mwenge ni jambo la kitaifa, lakini kuna tetesi kuwa mbio za Mwenge huwa ni mradi wa makada wa CCM, ambapo kila mwaka makada hao ugawana takribani bilioni 120 katika mzunguko mzima . Inasemekana kama wewe si kada wa CCM uwezi kuingizwa kwenye mradi huo. Kupitia Mwenge baadhi makada wa CCM ujizolea mamilioni ya pesa kwa kugushi manunuzi ya vitu mbalimbali ikiwemo mafuta ya gari, Chakula cha wakimbiza mwenge nk. Ugawanaji wa pesa hizo hutegemea na cheo chako katika mbio hizo za mwenge