Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,464
Naaammmmm!! Umeiweka vizuri sanaaa. Kazi lazima iendeleeee!!nafurahi sana kurudishiwa mwenge.uwake usizimike.ukamulike..ulete fulaha palipo na chuki,falaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakweli ulimulika ukatoa na ujinga tumekuwa na FULAHA NA FALAJA. 🤣 🤣 🤣 🤣nafurahi sana kurudishiwa mwenge.uwake usizimike.ukamulike..ulete fulaha palipo na chuki,falaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee! Kweni Mwenge wa Uhuru una kitu gani cha KISHIRIKINA hadi unaleta mauaji usipokimbizwa?Toka wakubwa walipogawana ndege tausi na kisha kusimamishwa kwa mbio za mwenge, taifa lilipata misiba mikubwa miwili ya watu waliopata kuiongoza nchi hii. Haya madubwashika yamejaa ushirikina mtupu, na kwa hakika ni mojawapo wa kile kinachoitwa kutunza siri za JMT.
Unakimbizwa na wananchi kwa upendo wao hivyo hakuna gharama kivileee!!Kuutembeza huo mwenge mpaka kuja kuzima hua inacost shingapi?
"Baba (Mwl. Nyerere), sisi (waganga wa kienyeji) tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike na hata nje ya mipaka ya nchi yetu, ulete matumaini mahala pasipo na matumaini, faraja palipo na huzuni, upendo palipo na chuki, heshima palipo na dharau" - Forojo Ganze (mganga wa kienyeji kiongozi)Heeee! Kweni Mwenge wa Uhuru una kitu gani cha KISHIRIKINA hadi unaleta mauaji usipokimbizwa?
Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato Mkoani Geita mwezi wa kumi.
Asante Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, Rais makini mwenye kufuata philosofia za Mwl Nyerere (ili tuendelee tunahitaji watu, kazi, siasa safi na uongozi bora)
Kazi Iendeleeee!!
Sio watanzania wamejiwekea utaratibu wa kuzungusha huo ushirikina nchini, sema ccm ndio wamejiwekea utaratibu huo wa kuishurutisha nchi kuamini matambiko.Kwan rais aliepo si alikiwa msaidizi wa huyo JPM? ama yeye alikuwa anafanya hayo peke ake?
Na pia mwenge sio wa JPM kwamba had awepo ndio uwashwe aliukuta na ameuacha hio ni tamaduni waTz wayojiwekea