Na ndio inaondoa utamu wa hz derbyTatizo uchawi mwingi
Chama kuwepo au kutokuwepo ni maamuzi ya kocha, adhabu ameshamaliza na hata asingekuwapo taabu ipo pale pale.... kadabi kadogo hakooo mkwakwani, hati hati ya simba kutaka kupoteana na finali ya kombe la ngao ya jamii, ni kutokana na kutokuwepo kwa mwamba wa lusaka, Cloutas Chota Chama,