Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mbio za ubingwa wa ligi ya Tanzania kwa sasa unakwenda kimahesabu zaidi kwa wanaouelewa mpira wa kitanzania.
Ni mapema sana kumtaja atayebeba ndoo kwa sasa lakini kimahesabu na kiufundi Vijana wa mitaa ya twiga na jangwani wanayo nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao endapo wataendelea na ubora wao mpaka mwisho, Kimahesabu yanga kaokota point 12 kwenye viwanja vigumu mikoani baada ya kucheza mechi 4 mpaka sasa, Na simba katika mechi 2 alizocheza mikoani kaokota alama 4 na kadondosha 2.
Mzunguko wa kwanza unaokwenda mwishoni yanga atakuwa amecheza mechi 8 mikoani na simba atakuwa amecheza mechi 5 mikoani, katika mechi 5 za simba mikoani tiyali kadondosha alama 2, na yanga ajadondosha alama bado mechi 3 tu za mikoani afunge hesabu mzunguko wa kwanza.
Mzunguko wa pili simba atacheza mechi 8 mikoani na yanga hizo 8 atazicheza kwa mkapa nafikiri mantiki yangu inaeleweka kwa wenye akili timamu, jumla ya mechi atazocheza yanga kwa mkapa ni 12, Timu 8 za mikoani +timu 4 zinazotumia uwanja wa mkapa unapata mechi 12, mechi izo ni simba, azam, kmc na ruvu shooting, na simba kwa mkapa watacheza mechi 5 na timu za mikoani +timu 4 zinazotumia uwanja wa mkapa ambazo ni Yanga, azam, kmc na ruvu shooting unapata idadi ya mechi 9 kwa mkapa.
Sasa nawakumbusha tu ya kwamba viwanja vya mikoani ndio uwa vinatoa bingwa wa ligi kwa 98%, ukiboronga mikoani basi ujue utakula ulikopeleka mboga.