Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wangu nyu bado nawasiliana na wapiga picha wa biharamulo na bukoba wote wanipe submition ya picha zao niziweke hapamkuu mchukia ufisadi, biharamulo mashariki vipi?
Duuuh niko mwanza huyu dogo wa chadema ni balaaa yaani maandamano yalikuwa makubwa mnooooo...polisi nimewapongeza kwa kuweka ulinzi makini na wamekuwa very polite kuhandle washabiki wa huyu bwana...Masha kazi anayo haswa

Nyamaganakigogo dogo huyo wa jimbo gani, maana nataka kuona jiji kama mwanza linakuwa la mfano kuunga mkono mageuzi siyo kungangania cccccmmmmmmmmmmm tu