Mbio za ufungaji Bora Nbcpl; Feisal Salumu anaongoza kwa goli moja mbele ya Aziz Ki

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mbio za Kiatu cha #UfungajiBora wa NBC Premier League msimu huu zinaendelea kupamba moto na mpaka sasa kileleni yupo Feisal Salum wa Azam Fc ambaye hapo jana alifikisha magoli 11 na anayemfuatia ni Stephane Aziz Ki wa Yanga Sc mwenye magoli 10.

Maoni Yangu: kwa kua Feisal Salumu hatokei Yanga Sc Wala Simba sc hutoona wachambuzi, Redio, magazeti na Tv zikimuimba lakini bwana mdogo yupo Moto sana.
 
ni sawa anaongoza,ila azam wana michezo mitatu mbele ya yanga
 
Na unaweza shangaa sio Aziz Ki ndiye atakayekuja kuwa mpinzani wake. Pale Yanga, kuna wafungaji wengi na wana uwiano mkubwa wa magoli hivyo unaweza shangaa Max au Mudathir wakapanda juu ya Azizi ki
 
Na unaweza shangaa sio Aziz Ki ndiye atakayekuja kuwa mpinzani wake. Pale Yanga, kuna wafungaji wengi na wana uwiano mkubwa wa magoli hivyo unaweza shangaa Max au Mudathir wakapanda juu ya Azizi ki
HILO HALINA SHAKA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…