chama chakavu unafananisha na chadema ? Halafu hawa wa chadema wala fomu hawakuchukua , wametia nia tu .Naweza kuamini hili.?
Mbona CCM hawatoi hotuba kuhusu nini wamedhamiria kufanya wakipewa ridhaa.?
Mkuu, umemsikiliza balozi Ali Karume Kule Zanzibar??Naweza kuamini hili.?
Mbona CCM hawatoi hotuba kuhusu nini wamedhamiria kufanya wakipewa ridhaa.?