Uchaguzi 2020 Mbio za Urais Zanzibar 2020: Shamsi Vuai Nahodha ni nani hasa?

Tofauti na utangulizi, aya zinazofuata umekuwa HASI sana kwake; huenda umetumwa na wapinzani wake kumwaga upupu
 
Hivi Nahodha si team Lowassa? Kikwete na Membe watamuungaje Mkono wakati hawaivi na kambi hiyo?
 
Daaah!!! umeeleza mengi mabaya hadi nakuona kama wewe pia unatumika. Nani kakutuma wewe?????????
 
Safi sana
 
Hivi huyu jamaa yupo wapi. Sijamsikia kitambo sana kwenye medani za siasa hasa baada ya kukosa uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…